八九六四
曝光
RFI
@rfi_sw·2026-09-15·RFI Kiswahili

Beijing, China, Juni 1989: Kufuatia mauaji ya halaiki katika Uwanja wa Tiananmen, msafara wa vifaru unapita. Ni mtu mmoja pekee anayesimama imara bila kuyumba. Ni ishara ya kimataifa ya upinzani wa amani dhidi ya ukandamizaji. Mwaka huu wa 2026, Ufaransa inaadhimisha miaka 200 tangu kupigwa kwa picha ya kwanza kabisa ya kudumu inayojulikana katika historia, ilitengenezwa na Nicéphore Niépce. Kusherehekea miaka hiyo 200 ya upigaji picha, RFI inazindua mfululizo wa picha 18 mashuhuri zilizochaguli

TikTok短視頻

公民的尊嚴,不能寄望於統治者的施捨。

相關熱點視頻

公益宣傳欄/說出你的聲音